2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(200,000X3) MBEZI MWISHO NJIA YA MPIJI MAGOHE
——
#MBEZI_MWISHO_NJIA_Y_MPIJIMAGOWE KITUO_MACHIMBO
APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 200,000\/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
USAFIRI DALADALA MIASITA KWAGARI KM 3.5
BEI NI 200,000\/= X 3,4,5,6
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT US:-
0716223412
0683597453