2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENTS ZINAPANGISHWA - MBEZI MWISHO (Magari Saba)
=====
. chumba master bedroom
Sebule kubwa
Jiko kubwa
Bei:220,000 Kwa mwezi ×6
===
B: vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa jiko na public toilet
Kodi 350,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali dakika 7 Kwa miguu
===
Ndani ya fence parking IPO
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI