2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
#APARTMENT MPYA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI #500k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet nje
Kodi 500,000/=×6
Umbali wa Dakika 15 kwa miguu
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni
Ndani ya fensi na parking ya kutosha
Kupelekwa kuona nyumba 20,000/=
Contact
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343