2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 350,000 Γ'6
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
DISTANCE: USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 KUTOKA UBUNGO EXTERNAL Au KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 24HRS
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENCE
#PARKING SPACE KUBWA
#GOOD ENVIRONMENT π
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp