3 Bedrooms House for Rent at Kibaha, Pwani
SHULE YA CHEKECHEA, MADARASA 6, TSHS.30 MILIONI, KIBAHA-KWA-MATHIAS MSANGANI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.531.
KIMEPIMWA( Hati Haijatoka bad
Ni nyumba 3 katika Kiwanja kimoja.
Moja ni kubwa na ina vyumba 3 vya kulala na nyingine mbili (vyumba 2 na ya 1)
Ni eneo la Makazi linalofaa pia kwa Biashara kama nyumba za kupanga, Kujenga Lodge nk.
Kwa sasa panaendeshwa Shule ya Awali.
Ukipenda unabadilosha Matumizi kulingana na matakwa yako.
Usafiri wa Boda na Bajaj upo na njia ni nzuri
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.