3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
100HAYA SASA TUMESHUSHA BEI PAMOJA NA MATUMIZI NI KWAAJILI YA MATUMIZI YA OFFICE AU KWA MAKAZI YA KUISHI
APARTMENT ZIPO MBILI MOJA YA JUU NA MOJA YA CHINI
ZIPO KIMARA SUKA
DAKIKA 5 TU TOKA MOROGORO ROAD
ZINA VYUMBA VITATU
VIKUBWA SANA SEBULE KUBWA SANA
NA KILA CHUMBA KINA MAKABATI JIKO KUBWA SANA LINA FUNGWA MAKABATI
PUBLIC TOILET KUBWA YA KISASA
YA JUU INAPANGISHWA KAMA OFFICE AU MAKAZI
KODI NI 1,000000/= MAONGEZI YAPO
NA YA JUU KODI 1,000000/= MAONGEZI YAPO
CHINI PANAWEKWA PEVING BLOCK SEHEMU ZOTE
NA INA PACKING SEHEMU MBILI ZA KUTOSHA
KWA MATUMIZI YA OFFICE AU MAKAZI YA KUISHI
KWENDA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 06 59 33 67 51 WSP 07 86 08 56 37