3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA KUBWA KWA FAMILIA #BEI 500K
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER 
#JIKO KUBWA
#DAING 
#PUBLICK TOILET 
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA 
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 8 -10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI 
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA 
#NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 15 YA KITANZANIA MPKA UPATE NYUMBA 
#0715949085
#0782838336




















