3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(500,000X6)KIMARA KOROGWE KILUNGULE 
NI NYUMBA KUBWA SANA YA FAMILIA INAPANGISHWA 
IPO KIMARA KOROGWE KILUNGILE 
KODI NI 500X6
SIFA ZAKE 
=========
VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO 
NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENS  PARKING IPO KUBWA 
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDANI 
NJE IMESHAPIGWA RANGI MAFUNDI WAPO NDAN KUMALIZIA FINISHING YA NDAN
KUPELEKWA SITE ELF 15 
CONTACT
0716223412
0618976024




















