Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(500,000X6)KIMARA KOROGWE KILUNGULE
NI NYUMBA KUBWA SANA YA FAMILIA INAPANGISHWA
IPO KIMARA KOROGWE KILUNGILE
KODI NI 500X6
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VITATU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA DAINING JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
NYUMBA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENS PARKING IPO KUBWA
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDANI
NJE IMESHAPIGWA RANGI MAFUNDI WAPO NDAN KUMALIZIA FINISHING YA NDAN
KUPELEKWA SITE ELF 15
CONTACT
0716223412
0618976024