3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
HIZI NYUMBA ZIPO TATU TU MBALI MBALI MOJA IPO WAZI KUBWA SANA INAFAA KWA FAMILIA KUBWA INAKUWA WAZI TAREHE 10/01/2025
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA VIKUBWA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#DAINING
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#STORE
#CHOO NA BADU VYA NDANI FAMILIA
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU YA KUPUNGUA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZIPO 3 TU KWENYE FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 10 -12 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
##0655256419
##0760830706