3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWAA SANA IPO KIMARA SUKAAAA UMBALI DK 15 KWA MIGUU UPO MORO ROAD 🛣️✍️🙃💪🪟..... BODA 1000/=
VYUMBA 3 NA 1 MASTA SEBULE, DINNING,JIKO NA PUBLIC TOILET SAFIIII....
LUKU YAKO NA MAJI WAWILII TU...
FENCED AND PARKING 🅿️ IPOOOO KUBWAA SANA...
ZIPO NNE .... MBELE WAWILII NA NYUMBA WAWILII NA MAGETI MAWILI....
WAHIIIIIIIIIIIII BOSS WANGU ASANTE....
KODI 250,000 × 3... AU TUOMBE KWA 230K × 4,5
UKILIPIA UNAMPA DALALI MWEZI MMOJA
SERVICE CHARGE 15,000=/
Contact us:-
0716223412
0683597453