3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA KOROGWE
------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa
Public toilet
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence ya waya
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
----------
Contact
#0676_218590(WhatsApp)
#0693_673010
#Dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏