3 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba ya vyumba vitatu (kimoja master), sebule, jiko lenye makabati na public toilet. Ipo Kinyerezi Park.
Wapangaji wanne.
Kila kitu unajitegemea.
Kodi 500,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga π 0688 412 890.