3 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba mpya ya kisasa Kinyerezi Darajani.
- Vyumba vitatu (viwili master)
- Sebule chini na juu
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Store
- Public toilet
- Water heater
- Full A/C
- Water reserve
- Kisima
- Paving
- Parking
- Fence
- Wapangaji watatu
ZIPO HATUA ZA MWISHO KUINGIA NI MWEZI WA TISA.
Kodi 1,000,000/=.
Muhitaji piga 📞 0688 412 890.