3 Bedrooms House for Rent at Mabanda, Tanga
Nyumba inapangishwa yakujitengeme yenyewe pekee yake kwenye fance inavyumba vitatu vya kulala kodi laki 800,000 kwa mwezi nyumba ipo salasala mabanda megi kutoka lami dk mbili tu kuona nyumba elfu 20,000 Dalali saimoni kidevu mbuyuni
#0758998074👈
#0689138795whatsapp