3 Bedrooms House for Rent at Mandera, Pwani







#STAND_ALONE_INAJITEGEMEA_YENYEWE_KWENYE FENSI
# IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA 
#BEI NI 400,000/= X 6 
🌟 #NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA 3 VYA KULALA 
#CHUMBA KIMOJAWAPO NI MASTER 
#SEBULE KUBWA
#DINING KUBWA 
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI 
#PUBLIC TOILET 
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
#PARVING
#PARKING KUBWA
#BEI NI 400,000/= X 6 
💫💫 #NYUMBA HII IPO #UBUNGO_MAKOKA 
#KUTOKA MANDERA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
#USAFIRI NI BAJAJI 700 AU BODABODA 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
#0785889413🔥🔥



















