House/Apartment for Rent at Mandera, Pwani


#APARTMENT NZURI YA KISASA YA KIBACHELA INAPANGISHWA 150K X 6 
 APARTMENT HII INASIFA KAMA IFATAVYO
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER CHA KULALA
#LUKU WAWILI 
#MAJI DAWASA YAPO NJE
#HAINA FENSI ILA GARI INAFIKA HADI NYUMBANI NA KUPAKI USALAMA UPO WA KUTOSHA 
#APARTMENT HII IPO #UBUNGO_RIVERSIDE_KIBANGU
#KUTOKA MANDERA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 KWA MIGUU 
BEI NI 150K X 6 ILIPWE 
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.



















