3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
IPO - DAR ES SALAAM
📍ENEO- MWEZI KWAMSUGURI
Upande wa kushoto kama unaenda mbezi
📍BEI - 400,000 x3
NYUMBA
YENYE
______
🔸Vyumba vitatu vya kulala
🔸Kimoja ni master
🔸Jiko la nguvu
🔸 Maji inajitegemea
🔸umeme inajitegemea
🔸Madrisha ya kioo
🔸Ipo kwenye fensi
🔸Umbali wa meter 800
Dakika 12 tu upo ndani
Pk pk 1000
📍Service charge. 15,000 elfu
Piga
+255 658 58 64 49
+255 684 88 14 29
MSHATI
_____