3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


(700,000X6)MBEZI MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NI NYUMBA KUBWA SANA INAPANGISHWA . IPO KWENYE FENCE YA PEKE YAKE STAND ALONE
.
.
LOCATION: MBEZI MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA KIBAMBA NYUMA KIDGO TU YA STAND YA MKOA MAGUFULI BAS TEMINAL
.
.
KODI NI 700,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
SIFA ZAKE
#########
VYUMBA 3 VIKUBWA
SEBULE KUBWA
DINING TABLE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET
FENS PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
ELECTRONIC FENS
GARDEN NZUR
LUKU YAKE
MAJI YAKE
YANAFLOW
FULL A/C
SEBULEN
NA MASTER
.
PIA PANA MABANDA MAKUBWA SANA YA KUFUGIA KUKU
.
UMBALI NI KM 1 TU KUTOKA MOROGORO ROAD PPKP ELIFU TU MPKA GETIN NA BRBR NI RAFIKI KWA GARI ZA AINA YOYOTE
.
KUPELEKWA SITE ELF 15
.
CONTACT US:-
0716223412
0683597453