3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Kwa Bibi. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vitatu (kimoja master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko
- Store
- Public toilet
- Maji 24/7
- Water reserve tank
- Garden
- Paving
- Parking
- Fence
- Dakika 5 kutoka kituoni
Kodi 500,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.