3 Bedrooms House for sale at Chamazi, Dar Es Salaam
NYUMBA YA KISASA, VYUMBA VITATU(3) TSHS.110 MILIONI, CHAMAZI-MAGENGENI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 3( Masta 1) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia.
Huduma muhimu za Umeme na Maji zipo.
NU NYUMBA YA KUHAMIA.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
______________rJ
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.