3 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam
ENEO ZURI SANA LINAUZWA
KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM1.2 NI DAKIKA 10 KWA KUTEMBEA MIGUU
======
UKUBWA WA ENEO NI
SQMT 2070//
ENEO LIMEPIMWA NA LINA HATI MILIKI
======
SIFA ZA ENEO
KUNA NYUMBA MBILI NDANI YA ENEO
ENEO HILI LINAFAA KWA UWEKEZAJI WA KIBIASHARA KAMA KUJENGA APARTMENT'S, HOTEL, AU MAKAZI BINAFSI KIFAMILIA.
1)
NYUMBA KUBWA SANA YENYE RAMANI YA KISASA
INA VYUMBA SITA VITATU NI MASTA
SEBULE KUBWA SANA
DAINING JIKO NA CHOO CHA PABLIC
BADO KUPAUA TUU
======
2)
VYUMBA VIWILI NA SEBULE CHOO NNJE NA JIKO
UMEME NA MAJI DAWASA VIPO
======
NIPAZURI SANA NDUGU MTEJA
=====
BEI YAKENI MILIONI. 250/
MAONGEZI YAPO FIKA SAITI
====
KUONA ENEO NI 30,000/= ( SERVICE CHARGE
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363