3 Bedrooms House for sale at Kivule, Dar Es Salaam







NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3) TSHS.60 MILIONI, KIVULE FREMU KUMI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 750.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba ina Kisima na Parking ni kubwa.
Vyumba 3 (masta 1)
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Eneo ni jirani na Kituo cha Daladala.
Gari moja tu hadi Mjini.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255714591548
_____________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.