3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


PAGALE ZURI, VYUMBA 3, BEI RAFIKI, TSHS.10 MILION. CHABOKO/KWAMBIKU, MBAGALA.
Hapa ni mwendo wa dakika 15 tu,
Kwa Bajaji zinazosanya na kuanzia
MBAGALA RANGITATU.
Eneo ni CHABOKO.
Hii ni nyumba nzuri, imara ambayo ujenzi wake umeishia hatua ya kwenye Linta.
Kiwanja kina ukubwa wa miguu 23 kwa 23.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Eneo limejengeka.
Nyumba ina Vyumba vya kulala 3 ( masta 1)
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
_________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
_________AnMb
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.