3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA,VYUMBA 3,TSHS.90 MILIONI,MBAGALA-CHAMAZI/SAKU.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 600.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 3 ( Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
+255 714 591 548
______________kwR