3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA NZURI SANA INAUZWA KWA NIABA YA BANK MBEZI MWISHO MAGUFULI BUS TERMINAL
Ina Vyumba Vitatu Viwil Ni Master, Dinning, Sitting, Kitchen&Public Toilet
Proposed First Floor :
Ni Plan Ya Kuweka Lounge, Study Room, Master Bedroom, Vyumba Viwil Self Contained
Umiliki: Hati Miliki (TITLE DEED)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 686
Umbali: Meter 200 Tu Kutoka Morogoro Road
Bei : 190 Million (Makadilio)
Gharama Za Kwenda Site Ni Tshs 30,000/=
📲 0682 402 327 📶