3 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam
Nyumba inauzwa ipo mbezi makabe
Inavyumba vitatu
Choo ni nje
Akuna choo chandani
Ina sebule
Jiko
Eneo. Mita. 20 kwa 15
Bei milioni 32 maongezi yapo
Nyumba ipo mtaa mzuri sana
Usafili pkpk 1000 kutoka njia apanda yamakabe
#0710614924
#0688653940