3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000

500,000 x6. 0679 956 863

NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO NYUMBA MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI NA HII KUBWA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#CHUMBA CHA KUJISOMEA
#AIR- CONDITION
#GARDEN

BEI NI 500,000/= X 6

BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) AMBAYO ITAKWATA HELA YA MWEZI MMOJA NDANI YA MALIPO YA MIEZI 6 KWAHIYO ITAHESABIKA MIEZI 5

๐Ÿ’ซ๐Ÿ’ซ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NDUGU MTEJA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

0679 956 863

0759151524

0781 418 437

dalali_shamte_kimara_ubungo
dalali_shamte_kimara_mbezi__
dalali_shamte_kimara_ubungo

Similar items by location

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™– #Mpyaa#๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: KIMARA SUKA#๐˜ฟ๐™ž๐™จ๐™ฉ๐™–๐™ฃ๏ฟฝ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 450,000

Apartment Ya Kisasa InapangishwaMahali: Kimara MwishoBei: 450,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6โ˜‘๏ธVyumba 2...

Retail Space for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

(100,000X3)KIMARA TEMBONI 2KM BAJAJI 700โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–โœ”๏ธCHUMBA MASTER KWA MTU ANAYEANZA MAISHA*APARTMENT NZ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

:๐˜ผ๐™ฅ๐™–๐™ง๐™ฉ๐™ข๐™š๐™ฃ๐™ฉ ๐™‰๐™ฏ๐™ช๐™ง๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™†๐™ช๐™ฅ๐™–๐™ฃ๐™œ๐™–#๐™‡๐™ค๐™˜๐™–๐™ฉ๐™ž๐™ค๐™ฃ: KIMARA MWISHO#๐˜ฟ๐™ž๐™จ๐™ฉ๐™–๐™ฃ๐™˜๐™š:...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

MASTER BEDROOM NA JIKO LAKE INAPANGISHWA KIMARA SUKA KODI NI 100,000X6Chumba cha kulalaChoo ndaniJik...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

HII NI NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAUZWA (85 MILIONI) MAONGEZI KIDOGO NYUMBA HII KWA SASA INAMPANGAJI ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA MWISHO KODI NI 180,000x3๐Ÿ‘ˆCHUMBA KIMOJA MASTASEBULE_KUBWAKIBALAZ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER KM 1PIKIPIKI ELF 1000KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APATIMENTI KALI SANA MPYAA. KABISA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGUREUMBALI KUTOKA MOROGORO R...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA SUKA DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI. INAKUWA WAZI TAR 12.9.2025 KUONA N...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 6 TUUITAK...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 6 TUUITAK...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

(300,000X6)KIMARA TEMBONI 1.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 1000โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–INA VYUMBA VITATU VYA KULALA...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

(400,000X6) KIMARA KOROGWE โ€”โ€”APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA KOROGWE KM 1 TOKA MAIN ROAD USAFIRI ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

200,000 X6 DAKIKA 5 KWAMIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MB...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(200,000X6) KIMARA SUKA DK MOJA KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD โž–โž–โž–โž–โž–โž–โž–SIFA YA NYUMBA โœ”๏ธCHUMBA MASTER...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 85,000,000

HII NI NYUMBA KUBWA YA FAMILIA INAUZWA (85 MILIONI) MAONGEZI KIDOGO NYUMBA HII KWA SASA INAMPANGAJI ...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KIMARA SUKAKODI YAKE 600,000/= X 6PESA YA TAHADHARI SHILINGI ...