3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(270,000X6)KIMARA TEMBONI
➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT INAPANGISHWA #KIMARA_TEMBONI SARANGA SHULE
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 270,000 Kwa mwezi × 6
Ndani ya fence zipo 2 inajitegemea umeme na maji, parking kubwa ya uhakika
Umbali KM 3 kutoka Morogoro Road, Bajaji zinakuacha kwenye nyumba
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15K
SIMU
0716223412
0683597453