3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(450,000 × 6)
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= × 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 450,000/= × 6
💫💫 NYUMBA HII IPO KIMARA SUKA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 AU DK 7 TUU KWA MIGUU NJIA YA SHORT CUT
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300