3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

NDUGU ZANGU HIZI APARTMENT NZURI NA YA KISASA ZINAPANGISHWA
ZIPO 3 KWENYE FENSI MOJA
------------------------------------------------------------------------
LOCATION: ST.JOSEPH,Upande wa kushoto ukiwa unaenda mkoa -TANZANIA
DISTANCE- 2km kutoka Main Road
Pikipiki 1500
------------------------------------------------------------------------
INA Vyumba 3 Vya kulala1 Master bedroom
Dinning table Sebule Jiko Safi na kuubwa
Kuhusu feni tutaongea nae afunge ukilipa miezi 6 Public toilet ndani LUKU INAJITEGEMEA
------------------------------------------------------------------------
FULL TAILS GYPSUM WINDOWS SLIDING MAJI YA DAWASCO YAPO MASAA 24 YANATOKA NDANI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENCE PEVING BLOCK PARKING SPACE IPO KUBWA MAZINGIRA MAZURI USALAMA UPO WAKUTOSHA
------------------------------------------------------------------------
BEI TSH { 300 000}=>X4
BEI TSH { 250 000}=>X6
GHARAMA YA KWENDA KUONA NYUMBA TSH 15000 UKIWA TAYALI KULIPIA NYUMBA HELA YA MWEZI MOJA YA DALALI CHARLE KIMARA
------------------------------------------------------------------------
NICHEK - +255677370515
What S App---------- +255678379515
KARIBUNI KIBAMBA LUGURUNI