3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT HII INAPANGISHWA IPO JIRANI KABISA NA BARABARA BEI NI 300,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
# SEBULE KUBWA
# JIKO KUBWA
# PUBLIC TOILET
# LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
# PARKING KUBWA
# IPO JIRANI NA BARABARA
BEI NI 300,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
MAFUNDI WAPO KAZINI WANAENDELEA NA UKARABATI WA NYUMBA UCK NA MCHANA
๐ฅ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0710614924