3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


KODI NI 550,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MINNE (4)
INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.1.5
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJ DALADALA SH 5OO
APARTMENT NZURI YENYE SIFA ZIFUATAZO
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI NA KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI DINNING ROOM KUBWA NA PUBLIC TOILET NZUR YA NDANI
TILLES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA FULL PEVING BLOCKS 🚫 FULL SECURITY
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI
NB;
NYUMBA HII MAJI SAFI, MAJI TAKA,USAFI NA ULINZI WA KAMPUNI BURE
ILIYO WAZI NI YA JUU
CHANGAMKIA FURSA KWANI BADO HUJACHELEWA
SERVICE CHARGE NI TZS.15000
CONTACT
0652 508128
0773700963
=====