3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#INAVYUMBA VITATU (3)VIKUBWA SANA VYA KULALA ..KIMOJA WAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DAINING
#JIKO KUBWA
#STORE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
NB:NYUMBA HAIKO NDANI YA FENSI
BEI NI 350,000/= X 6
๐ฃNYUMBA HII IPO KIMARA MWISHO
..UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 ..USAFIRI BAJAJI 1000..DALADALA 700
KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA