3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#HEATER
#GARDEN
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
INAYOPANGISHWA NI YA CHINI SIO GOROFANI
BEI NI 600,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
##0655256419
Hii nyumba ni nzuriii kwa familia piga simu
##0655256419