3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







600,000 X6. 0759151524
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA NA VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 600,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI SHILINGI LAKI 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0679 956 863
0759151524
0781 418 437