3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach (Makonde)(Upande Wa Juu), Dar-Es-Salaam ,Tanzania
Ina :-
🔸️ Vyumba Vitatu Vya Kulala (Kimoja Masta)
🔸️ Sebule
🔸️ Jiko lenye #makabati
🔸️ Choo
🔸️ Parking Space
🔸️ Inajitegemea Kwenye Umeme
BEI : 900,000 Tsh Kwa Mwezi
Kwa Mawasiliano Zaidi:-
0747997630
0679997610
Msigwa