Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa
Mahali : Mbezi Beach (Makonde)(Upande Wa Juu), Dar-Es-Salaam ,Tanzania
Ina :-
๐ธ๏ธ Vyumba Vitatu Vya Kulala (Kimoja Masta)
๐ธ๏ธ Sebule
๐ธ๏ธ Jiko lenye #makabati
๐ธ๏ธ Choo
๐ธ๏ธ Parking Space
๐ธ๏ธ Inajitegemea Kwenye Umeme
BEI : 900,000 Tsh Kwa Mwezi
Kwa Mawasiliano Zaidi:-
0747997630
0679997610
Msigwa