3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







AYA SASA WAI MAPEMA
#KODI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA KAMILI
==============
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
=============
IPO TABATA KISUKURU MAJI CHUMVI
=============
FUNDI YUPO KAZIN KWA KASI YA 5G KUIPIGA RANGI NDAN NA MAREKEBISHO MENGINE YOTE
==============
SIFA ZAKE
========
VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE DAINING JIKO NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
JIKO LINAWEKWA MAKABATI
================
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYWE AP0 IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDANI
=================
UFIKAJI
========
UKITOKEA UBUNGO EXSTENO UNAFIKA NA UKITOKEA TABATA KIMANGA UNAFIKA
=================
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUMU MPAKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
================
CONTACT
0742260844
0657384670



















