3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam
#Repost dalali_ Makini Ubungo Riverside
โโ
#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
#BEI NI 450,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#BEI NI 450,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO #UBUNGO_EXTERNAL DKK 2 KUTOKA BARABARANI
#KUTOKA MANDERA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
#USAFIRI NI BAJAJ 700 UKISHUKA UNATEMBEA DKK 2 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0755336565
0712500602 wtsp