4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA KUBWA SANA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE/ STAND ALONE
====
INAPANGISHWA KIMARA SUKA #400k
===
Vyumba 4 vya kulala, viwili ni master bedrooms sebule dinning jiko na public toilet
====
Bei:400,000 Kwa mwezi × 8
===
Umbali dakika 15 Kwa mguu, Bajaji zipo
===
Nyumba hii IPO kwenye eneo kubwa Sana parking kubwa eneo la kulima Mboga Mboga ,mabanda ya kufugia
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI