4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
BANGALOOO KUBWA SANA LINAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE LANAPANGASHWA #BEI IMESHUKA 700K
#SEBULE UWANJA
#VYUMBA 4 VYA KULALA VIKUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA SANA LINAWEKWA MAKABATI YA KISASA
#DAINING
#STORE
#CHOO NA BAFU VYA WAGENI
#FULL TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS
#ELECTRICK SECURITY FANCE
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#NYUMBA HII INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI PARKING KUBWA SANA
#LOCATION KIMARA MWISHO KLM 1 USAFIRI BODA 1000 MPAKA GETINI
#BEI NI 700,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087