4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 4 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa
----------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=ร6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
-----------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA ๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐