4 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Hii ni stand alone ipo mbezi beach Africana upande wa beach… Ina vyumba vinne , sebure , stoo , garden na jiko . Bei ni Mil 1,500,000 kuanzia mieiz sita kwenda kukagua nyumba
Tunachaji 20000 na malipo ya kodi ya mwezi
Ya dalali baada ya kulipia. Nyumba tuwasiliane
Kwa namba
0784422099
0746218111
0715422099