4 Bedrooms House for Rent at Mbuyuni, Morogoro







House for Rent Stand Alone Inajitegemea Fancy yake Mwenyewe 
Location Salasala Kituoni Mbuyuni Mbezi Beach Usafiri ni Bajaji na Boda Barabarani ni Lami 
Kodi 1200000×5 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba 
Sifa zake 
==========
Room 4 Moja ni Master Bedroom 
Sitting Room Kubwa 
Kitchen with Cabinet 
Public toilet ndani 
Luku yake 
Maji Dawasa ndani mita yake 
Parking space fancy 
Electric fancy 
Pavin Block 
Garden nzuri 
Nyumba hii Ina parking space Kubwa sana 
Good environment 
Piga sim Kwa Maelezo zaidi 
0712500602
0755336565



















