Plots for sale at Mbuyuni, Morogoro


*ENEO ZURI KWA MATUMIZI YA KIWANDA, LAKWANZA KWENYE BARABARA KUU YA LAMI IENDAYO DAR ES SALAM LINAUZWA HAPA VIKONJE MBUYUNI KABLA YA KUFIKA SHELI MPYA YA PUMA*
📍 *SQUARE METER 9084*
ENEO LIPO VIKONJE Kilometer Chache kutoka mtumba Mawizarani Dodoma
- Limetazma barabara kuu ya lami ya Morogoro/Dar es salam
- Ni viwanja viwili vimeshikana pamoja.
- ENEO LIMEZUNGUKWA NA BARABARA PANDE ZOTE NNE
- *Documents: ni HATI*
- *UKUBWA: SQM 9,084*
📌 *BEI MILIONI 550*
*Mazungumzo yapo*
KARIBU TUKUHUDUMIE 🤝