4 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam
📢Nimeishusha Bei wahii.... Kiwanja Pamoja Na Nyumba VINAUZWA, 98M
📍 Mahali:- MBWENI MWISHO DAR-SALAAM TANZANIA
___
______
• Ukubwa wa Eneo ni SQM 986
• Linatazama Barabara ya Lami
• Eneo Liko Coast Zone (Mwambwao wa Mahali ta Hindi, Mita 135 tu kufika Baharini)
• Eneo Lishapimwa, Hati haijatoka bado
#Eneo lina Hati ya Serikali ya Mtaa
★MAELEZI YA NYUMBA ILIYOPO
* Vyumba 4 vya kulala (Kimoja Master), Sebule, Dinning na Jiko (Nyumba ya Kizamani)
#Liko Barabara Ya Lami ya Kutoka MBWENI JKT BARABARA YA LAMI (Eneo Limegusa Lami)
#Umeme Upo
#Huduma Zote Zakijamii Zipo
★MATUMIZI YA ENEO
* Unaweza jenga Nyumba ya Kuishi au ya kupangisha
* Unaweza Jenga Hotel..... Nk
,
#Bei ni Tsh 98,000,000/=
________
#Kupelekwa kuona 40,000/=
№:- 0753172516