4 Bedrooms House for sale at Chamazi, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA,VYUMBA 4,TSHS.100 MILIONI,CHAMAZI.
Hii ni nyumba ya kisasa YAKUHAMIA.
Vyumba vya kulala vinne(4)
Kati ya hivyo 2 vina Vyoo ndani.
Na piano Ina Fremu ya Duka la Biashara moja.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.600.
Umiliki ni MKSTABA WA MAUZO.
Tiles,Gypsum,Drisha za Vioo na Parking Safi vipo.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255714591548
_____________
Ukihitaji kukagua taarifa mapema Tafadhali.