4 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALON MZURI INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FANCE
NIMEISHUSHA BEI NJOO WAH NA MTEJA WAKO
SIFA
VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJAWAPO MASTER
SEBULE KUBWA
DAINING
JIKO KUBWA
PABLICK NDANI
NA NJE
BANDA LA KUFUGIA KUKU
BEI 400k X6
ILIPIWE LAKI NNE MIEZ SITA
UMBALI KUTOKA MAIN ROAD KM1
DK 15 KWA MGUU
NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBN UPANDE WAKULIA KAMA UNATOKA MJINI