4 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa ipo mbagala chamazi nyumba ya vyumba 4vya Kulala masters bedroom stingiroom daingiroom kitchen nyumba umeme upo Maji yapo nyumba ina kisima cha Maji nyumba full security ya umeme nyumba aipo mbali na Barbara kuu ya rami KM dk chache kufika k nyumba nyumba ina hati ya serekari ya mtaa ukubwa wa kiwanja Sqm 600 nyumba bei ml 120